Vodacom Tanzania, Soko la Hisa la Dar es Salaam kuwawezesha Watanzania kiuchumi, wazindua DSE Mini App ndani ya M-Pesa Super App

Mkurugenzi wa M-Pesa kutoka Vodacom Plc, Epimack Mbeteni (wa nne kutoka kushoto) akimpa mkono Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Peter Nalitolela baada ya kuingia katika ushirikiano wa kidijitali kwa kuzindua programu ya DSE Mini App katika M-Pesa Super App hivi karibuni jijini Dar es Salaam. DSE Mini App…

Read More

Mchakato kumpata Rais wa Marekani upo hivi..

Donald Trump amewahutubia wafuasi wake na kuwaeleza kuwa ameshida dhidi ya Kamala Harris katika uchaguzi wa rais wa Marekani, huku kura zikiendelea kuhesabiwa katika baadhi ya majimbo yaliyosalia. Kiongozi huyo wa Chama cha Republican amewaambia wafuasi wake waliokuwa na furaha kubwa huko Florida kwamba wataanzisha “Enzi mpya ya dhahabu kwa Marekani … Huu ni ushindi…

Read More

DKT. MWAMBA ATETA NA UJUMBE KUTOKA EU

Na. Joseph Mahumi na Chedaiwe Msuya, WF, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Wataalamu kutoka Shirika la Umoja wa Ulaya iliyoongozwa na Mkuu wa Ushirikiano wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Bw. Marc Stalmans, katika ukumbi wa Mikutano wa Katibu Mkuu, jijini Dodoma….

Read More

Misitu Ilivyopunguza Uhaba wa Kuni Hukumba Wanakijiji nchini Zimbabwe – Masuala ya Ulimwenguni

Mkokoteni uliobebwa na kuni huko Gonzoma, Zimbabwe. Uwindaji wa kuni kwa ajili ya mafuta ya kaya una athari kwa misitu nchini Zimbabwe. Credit: Jeffrey Moyo/IPS by Jeffrey Moyo (chimanimani, zimbabwe) Jumatano, Novemba 06, 2024 Inter Press Service CHIMANIMANI, Zimbabwe, Nov 6 2024 (IPS) – Linet Makwera (28) ana mtoto mchanga amefungwa mgongoni huku akiyumbayumba bila…

Read More

Ashira Moshi, kutoka kitovu cha dhambi hadi eneo la wokovu

Moshi. Kama umewahi kusikia eneo la dhambi limegeuka la wokovu, basi huwezi kuacha kulitaja eneo la Ashira. Eneo hilo  lililopo Marangu, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro  kwa mujibu wa wakongwe wa mkoa huo, ndilo lililotumika kama kichaka cha kutupa maiti za watoto waliozaliwa na ulemavu au pacha, baada ya kuuawa. Lakini baadaye, lilitumika na wamisionari…

Read More

Fadlu: Nashusha vyuma hivi Simba dirisha dogo

SIMBA inacheza leo dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Lakini hesabu za kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids ziko kwenye dirisha dogo. Ameweka wazi kwamba Desemba lazima asajili wachezaji wapya watatu ambapo mmoja tayari wameshamalizana nae na yupo Dar es Salaam. Simba inapiga hesabu nzito kuongeza nguvu eneo la beki wa kati…

Read More

WAKUFUNZI WATAKAOFUNDISHA WADAU KUHUSU FAIDA YA MILIKI BUNIFU WAPIGWA MSASA,BRELA WATOA NENO

Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Usajili wa Leseni za Biashara (BRELA), Shirika la Miliki Ubunifu ‘Duniani World Interllectual Property Organization’ (WIPO), Shirika la Miliki Buinfu Kanda ya Afrika (ARIPO)na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanatoa mafunzo kwa wakufunzi watakaokuwa na jukumu la kufundisha wadau mbalimbali kuhusu umuhimu na faida ya miliki bunifu ili…

Read More

VODACOM YATANGAZA WASHINDI WA KAMPENI YA NI BALAA!

  Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa kampuni ya Vodacom, Abednego Mhagama akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni ishirini kwa mshindi wa kampeni ya Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi Bi. Beth Mayunga kutoka Mbeya mnamo tarehe 5 Novemba 2024 katika hafla iliyofanyika katika duka la Vodacom jijini Mbeya. Beth pia…

Read More