Trump ajitangaza mshindi wa urais Marekani – DW – 06.11.2024
Matokeo ya awali yanaonesha Donald Trump anaongoza. Matokeo rasmi hayajatangazwa, lakini Donald Trump ameshajitangaza mshindi. Kura za uchaguzi wa urais Marekani zaendelea kuhesabiwa Trump ametangaza kushinda urais akisema ni ushindi wa kihistoria ambao haujashuhudiwa nchini humo. Kwenye hotuba mbele ya ushindi kwa wafuasi wake huko Palm Beach, Florida Trump aliyeongozana na familia yake, alikiri matokeo haya…