OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA YASHIRIKI MKUTANO WA 9 MTANDAO WA MAMENEJA NA WASIMAMIZI WA RASILIAMALIWATU

  Naibu Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Mhandisi Samwel Tanguye amepokea tuzo ya Mwezeshaji/mtoa mada katika Mkutano wa tisa (9) wa Mtandao wa Mameneja na Wasimamizi wa Rasilimali watu katika Taasisi za Umma Barani Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa AICC – Arusha. Katibu wa Sekretarieti ya…

Read More

Bei ya petroli, dizeli zashuka Dar, Tanga

Dar es Salaam. Wanunuzi wa rejareja wa mafuta ya petroli na dizeli yanayopitia Bandari za Dar es Salaam na Tanga wataendelea kupata ahueni zaidi, baada ya bei kutangazwa kupungua Novemba mwaka huu ikilinganishwa na zilizokuwapo Oktoba. Bei zimeendelea kushuka, licha ya gharama za uagizaji mafuta kutoka soko la Uarabuni kupungua kwa upande wa petroli pekee…

Read More

Siri muungano wa wapinzani kung’oa vyama tawala Afrika

Muungano wa vyama vya upinzani umekuwa ni silaha ya kukabiliana na vyama vikongwe ambavyo vimeyatawala mataifa yao kwa muda mrefu tangu wakati wa harakati za ukombozi hadi zama hizi za ulimwengu wa kisasa. Baadhi ya mataifa ya Afrika yameonyesha mfano bora kwa wapinzani kuungana na kufanikiwa kushika dola na kuviondoa madarakani vyama tawala ambavyo vimekuwa…

Read More

Camara kazini kuivaa Taifa Stars Novemba 19

Kipa wa Simba, Moussa Camara ni miongoni mwa wachezaji 23 walioitwa katika kikosi cha Guinea kitakachocheza mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 dhidi ya DR Congo na Tanzania ‘Taifa Stars’ baadaye mwezi huu. Guinea itakuwa nyumbani, Novemba 16 kuikabili DR Congo na baada ya hapo, Novemba 19 itakuwa katika…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Pafukapo moshi ujue pana moto

Siku moja nilidamka kwenda kwenye harakati zangu za kawaida. Lakini kabla sijatoa mguu wangu nje, mvua ikanya. Nikatoka lakini baada ya kujiandaa na mwavuli na viatu vya mvua. Nilipofika mjini hali ilikuwa tofauti kabisa na ile niliyoachana nayo nyumbani; jua lilikuwa kali na hakukuwa na dalili yoyote ya mvua. Hii ndiyo Dar es Salaam ambako…

Read More

Simba vs KMC, vita iko hapa

Dar es Salaam. Nafasi ya Simba kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara leo ipo mikononi mwao wakati timu hiyo itakapokabiliana na KMC kwenye Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam. Hadi kufikia leo, zimepita takribani siku 56 tangu mara ya mwisho Simba kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada…

Read More

Pafukapo moshi ujue pana moto

Siku moja nilidamka kwenda kwenye harakati zangu za kawaida. Lakini kabla sijatoa mguu wangu nje, mvua ikanya. Nikatoka lakini baada ya kujiandaa na mwavuli na viatu vya mvua. Nilipofika mjini hali ilikuwa tofauti kabisa na ile niliyoachana nayo nyumbani; jua lilikuwa kali na hakukuwa na dalili yoyote ya mvua. Hii ndiyo Dar es Salaam ambako…

Read More