UCHUMI WA BULUU UNA FAIDA KUBWA

Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Mohamed Sheikh akifunga kikao kazi cha kuandaa mpango kazi wa utekelezaji wa Uchumi wa Buluu kwa mwaka wa fedha 2024/25 na 2025/26 kilichofanyika Arusha kwa siku mbili. Sehemu ya washiriki wakifuatilia kikao kazi cha kuandaa mpango kazi wa utekelezaji wa Uchumi wa Buluu…

Read More

Serikali yatwishwa zigo vurugu za bodaboda

Dar es Salaam. Mamlaka za usimamizi wa sheria za usalama barabarani zinalalamikiwa kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo, hivyo kuwa chanzo cha vurugu za madereva wa bajaji na bodaboda. Lawama zinaelekezwa kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra) na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani zinazosimamia Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973…

Read More

WAZIRI KOMBO ATEMBELEA MAKUMBUSHO NCHINI CUBA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ametembelea makumbusho iliyohifadhi historia ya Muasisi wa Taifa la Cuba Komredi Fidel Castrol Ruz iliyopo jijini Havana, Cuba. Waziri Kombo aliambatana na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro pamoja na sehemu ya ujumbe wa Serikali ya Tanzania…

Read More

Camara kazini kuivaa Taifa Stars

Kipa wa Simba, Moussa Camara ni miongoni mwa wachezaji 23 walioitwa katika kikosi cha Guinea kitakachocheza mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 dhidi ya DR Congo na Tanzania ‘Taifa Stars’ baadaye mwezi huu. Guinea itakuwa nyumbani, Novemba 16 kuikabili DR Congo na baada ya hapo, Novemba 19 itakuwa katika…

Read More

Lishe Mbalimbali Ni Muhimu kwa Kurutubisha Sayari Yenye Afya na Watu Wenye Afya – Masuala ya Ulimwenguni

Mama wa Bangladesh akiwalisha watoto wake samaki wadogo wenye virutubisho vingi, mola na mboga za majani. Credit: Finn Thilsted / WorldFish Maoni na Shakuntala Thilsted, Cargele Masso (cali, Colombia) Jumanne, Novemba 05, 2024 Inter Press Service CALI, Kolombia, Nov 05 (IPS) – Mara nyingi inasemekana kuwa sisi ni kile tunachokula. Hata hivyo, milo yetu pia…

Read More

Serikali yatishwa zigo vurugu za bodaboda

Dar es Salaam. Mamlaka za usimamizi wa sheria za usalama barabarani zinalalamikiwa kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo, hivyo kuwa chanzo cha vurugu za madereva wa bajaji na bodaboda. Lawama zinaelekezwa kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra) na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani zinazosimamia Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973…

Read More