Anayedaiwa kumteketeza mkewe kwa moto aibua mpya mahakamani
Dar es Salaam. Mshtakiwa anayekabiliwa na kesi ya mauaji akidaiwa kumuua mkewe kisha kumteketeza kwa moto kwa kutumia gunia zima la mkaa, Hamisi Said Luwongo, amewataka mawakili wake wasiwakatishekatishe mashahidi wa upande wa mashtaka wakati wakitoa ushahidi, bali wawaache kuwa huru. Licha ya kuwa na jopo la mawakili watatu wanaomwakilisha, pia mshtakiwa huyo ameiomba mahakama…