TANZANIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA KIKANDA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA SADC UNAOHUSU MATUMIZI YA NISHATI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kikanda kwa nchi za Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) unaohusu masuala ya Matumizi Bora ya Nishati. Mkutano huo utafanyika jijini Arusha kuanzia Desemba 4 mpaka Desemba 5 mwaka huu na umeandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa Kushirikiana…