Auawa madai ya kufumaniwa na mke wa mtu, mkewe asema..
Geita. Faida Deus (34), Mkazi wa Bugalama Wilaya ya Geita ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake, huku chanzo kikitajwa ni wivu wa mapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo akizungunza na waandishi wa habari leo Jumanne, Novemba 5, 2024 amesema marehemu alikatwa maeneo ya kichwani, utosini…