Kipre aanika faili la Aziz KI, Dube MC Alger
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Azam FC, ambaye kwa sasa anakipiga MC Alger, Kipre JR amewaambia wenzie kwamba Stephane Aziz Ki na Prince Dube kuwa ndio wachezaji wa kuchungwa ili wasiwaadhibu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambako watakutana baada ya kupangwa kundi moja na Yanga. Yanga ipo kundi A sambamba na MC Alger, Al Hilal na…