NCAA YANADI VIVUTIO VYA UTALII MAONESHO YA “WORLD TRAVEL MARKET LONDON” UINGEREZA
Mamlaka ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inashiriki Maonesho ya “World Travel Market London 2024” ambayo yanafanyika katika jiji la London, Uingereza kuanzia tarehe 5- 7 Novemba, 2024. Maonesho hayo ambayo taasisi mbalimbali za Wizara ya Maliasili na Utalii zinashiriki, NCAA inatumia fursa hiyo kunadi vivutio vya utalii ikijumuisha uzuri wa asili wa Ngorongoro,…