Polisi yaifinya Stein Warrious Divisheni 1
POLISI imeonyesha ubabe wake kwenye Ligi ya Kikapu Divisheni 1 baada ya kuichapa Stein Warrious kwa pointi 71-58, kwenye Uwanja wa Donbosco Oysterbay. Katika mchezo huo, ulikuwa na ushindani mkubwa kama fainali na Stein ilianza robo ya kwanza kwa uweleano mkubwa, huku Polisi ikionekana kucheza taratibu. Hadi robo hiyo inamalizika Stein ilikuwa mbele kwa pointi…