Mafunzo ya Uzalishaji Mbegu Bora za Mpunga yafanyika Bagamoyo
Wadau wa masuala ya kilimo wametakiwa kujitokeza kutoa elimu ya uzalishaji mbegu kwa wakulima wa mpunga ili kuondokana na changamoto ya uzalishaji mbegu nchini pamoja na kuongeza uzalishaji wa zao hilo nchini. Akizungumza Novemba, 4 2024 wakati wa kufungua mafunzo ya siku tatu ya uzalishaji wa mbegu za ubora wakuazimia (UKU) za mpunga iliyofanyika…