Kizaramo ‘mibili’ kilivyozaa Muhimbili | Mwananchi
Nenda kokote Tanzania jina Muhimbili utalikuta sehemu moja tu, napo ni jijini Dar es Salaam. Si kama Kariakoo, Magomeni, Mbuyuni, Majengo na majina mengine kadhaa utakayoyakuta mikoa mbalimbali. Jengo la iliyokuwa Hospitali ya Sewa Haji. Lakini Muhimbili ya Dar si eneo pekee bali ni kile kilichopo hapo. Hapa ndipo ilipo hospitali kuu zaidi nchini. Hii…