Faida, vikwazo nishati safi ya kupikia
Morogoro/Pwani. Dhima kuu ya Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) uliozinduliwa Mei mwaka huu inalenga kuhakikisha upatikanaji wa nishati safi ya kupikia iliyo nafuu, endelevu, salama na rahisi kutumika. Mkakati huo uliozinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, unalenga kutoa mwongozo wa namna ya kupunguza athari za kiafya, mazingira na kuboresha maisha ya…