MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKUTANA NA NAIBU GAVANA WA CHINA
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendeleza ushirikiano uliopo baina ya Zanzibar na Jamhuri ya watu wa China kwa maslahi mapana ya wananchi wa pande zote mbili . Ameyasema hayo wakati alipofanya mazungumzo na Naibu Gavana wa Jimbo la ZHEJIANG Bwana. YANG QINGJIU na…