Manula afunguka hatma yake Simba
KIPA wa Simba, Aishi Manula kwa sasa hana namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo licha ya kuipa mafanikio kibao ikiwamo ubingwa wa Ligi Kuu Bara zaidi ya mara nne tangu alipotua kikosini 2017/18. Hata hivyo, tangu msimu uliopita, Manula amekuwa na ingia toka katika kikosi cha kwanza ambapo amecheza mechi chachem…