MAREMA MPYA KUPAMBANA NA MITAJI – ELISHA MNYAWI

  Na Mwandishi wetu, Mirerani MWENYEKITI mpya wa wachimbaji wa madini Mkoani Manyara (MAREMA) Elisha Nelson Mnyawi, amesema wachimbaji wanakabiliwa na ukosefu wa mitaji ya kuendesha shughuli zao uchimbaji hali inayosababisha waendelee kuwa masikini licha ya kuzungukwa na utajiri mkubwa wa madini mbalimbali. Mwenyekiti huyo mpya wa MAREMA Elisha Nelson Mnyawi ameyasema hayo akizungumza mji…

Read More

KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CRC

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali,Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala Comoro cha CRC ambaye pia ni Katibu wa Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro na kuzungumzia kuimarisha uhusiano baina ya vyama hivyo ikiwa ni pamoja na kutoa fursa…

Read More

ZAIDI YA WANANCHI 32,000 WA VIJIJI VYA WILAYA ZA MOROGORO NA MVOMERO KUANZA KUPATA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi MaryPrisca Mahundi (Mb), amesema Serikali inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha mawasiliano hususani maeneo ya vijijini ili kuwaunganisha wananchi kwa lengo la kuiwezesha nchi kufikia uchumi wa kidijitali. Mheshimiwa Mahundi ameyasema hayo Mkoani Morogoro alipofanya ziara ya kikazi, kukagua minara iliyojengwa katika…

Read More

Safari ya mwisho ya Jenerali Musuguri ilivyokuwa Butiama

Butiama. David Musuguri (104), aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi amehitimisha safari ya maisha yake hapa duniani kwa jeneza lenye mwili wake kuzikwa nyumbani kwake, Kijiji cha Butiama, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara. Safari hiyo ya mwisho ya Jenerali Musuguri aliyezaliwa Januari 4, 1920 ameihitimisha kwa mazishi ya kijeshi yaliyokwenda sambamba na mizinga 17 kupigwa….

Read More

Mtandao kuunganisha vituo vya ubunifu waanzishwa

Mwenyekiti wa mtandao wa wa Vitovu Tanzania  (THN) Kiko Kiwanga Akizungumza na wadau mbali mbali wa bunifu wakati wa uzinduzi wa mtandao wa kuunganisha na kuimarisha vituo vya ubunifu kote nchini kwa lengo la kuboresha huduma za ubunifu na uvumbuzi sambamba na kuongeza tija.uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 4,2024 Jijini Dar es Salaam. Meneja wa…

Read More

PPRA YAPATA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA MFUMO WA NeST

  Mkurugenzi Mkuu wa MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Dennis Simba, akizungumza katika kikao kazi na wahariri na waandishi wa vyombo ya habari nchini, kilichoratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (TR). Kilichofanyika leo Novemba 4,2024 Jijini Dar es Salaam. Meneja Kanda ya Pwani wa PPRA , Vicky Mollel akizungumza katika kikao…

Read More

KAKA na Dada kizimbani kwa kughushi wosia wa Mama.

Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MOHAMED Omar (64) na dada yake Nargis Omary (70) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakilabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kughushi wosia. Hata hivyo ni mshtakiwa Mohamed tu ndiye aliyesomewa mashtaka huku mahakama ikielezwa kuwa mshtakiwa Nargis ameruka dhamana ya polisi. Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo…

Read More

Shindano la Hello Mr. Right! Msimu wa Sita laanza rasmi, vijana wahimizwa kufuatilia…

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Shindano maarufu la kusaka wenza, Hello Mr. Right! msimu wa sita, limezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, likiwahimiza vijana kuzingatia fursa ya kujifunza namna bora ya kupata wenza wa maisha. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Godfrey Lugalabam maarufu kama “Gara B,” alieleza kuwa msimu huu umeboreshwa kwa kuleta wakufunzi wapya,…

Read More