Uchaguzi kamati ya Olimpiki Tanzania kufanyika Desemba

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Viongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (2025 – 2028) wanatarajiwa kupatikana Desemba 14 mwaka huu katika uchaguzi utakaofanyika jijini Dodoma. Akizungumza leo Novemba 4,2024 Mwenyekiti wa Kamisheni inayosimamia uchaguzi huo Ibrahim Mkwawa, amesema wamejiandaa vizuri na kusisitiza Watanzania wajitokeze kugombea nafasi mbalimbali. Amesema nafasi zinazogombewa ni Rais wa Kamati ya…

Read More

Polisi wamhoji bosi Dar24 aliyetoweka

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema wanaendelea kumuhoji Mkurugenzi wa Dar24 Media, MacLean Mwaijoka pamoja na watu aliowataja kuna nao kwenye mazungumzo ya kibiashara wakati alipotoweka Oktoba 31, mwaka huu. Mwajoka alitoweka Oktoba 31, 2024 na kupatikana Novemba 2, 2024 akiwa hai maeneo ya Buyuni, Kigamboni, jijini Dar…

Read More

Wananchi Wahimizwa Kuwa Makini na Magari ya Kemikali ya Sianidi

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KAMPUNI ya Usafirishaji wa Kemikali ya Taifa, Transport and Logistic Limited, kwa kushirikiana na Kampuni ya Freight Forwarders Tanzania, Mainline Carriers, na Swala Solution Limited, imezindua zoezi la utoaji elimu kwa wananchi kuhusu madhara ya kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide) na hatari ya kuyasogelea magari yanayobeba kemikali hiyo. Akizungumza leo…

Read More

Shule ya Msingi Fahari Elite kukuza vipaji vya michezo

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Shule ya Msingi Fahari Elite iliyopo Mvuti Dar es Salaam imesema imebuni programu mbalimbali kwa lengo la kuibua na kukuza vya michezo. Akizungumza Novemba 2,2024 wakati wa bonanza lililofanyika shuleni hapo Meneja wa Shule ya Msingi Fahari Elite, Neema Mchau, amesema wanatumia mbinu mbalimbali kuibua na kukuza vipaji vya watoto…

Read More

Mkutano wa Hali ya Hewa wa Azabajani Waleta Msimu Mdogo kwa Waarmenia – Masuala ya Ulimwenguni

Saa zilizopita kabla ya kuondoka kwenye Monasteri ya Dadivank (Nagorno-Karabakh) milele, kufuatia vita vya 2020. Urithi mkubwa wa kiakiolojia wa Armenia bado ni majeruhi mwingine wa vita kati ya Waarmenia na Waazabajani. Credit: Karlos Zurutuza / IPS na Karlos Zurutuza (Roma) Jumatatu, Novemba 04, 2024 Inter Press Service ROME, Nov 04 (IPS) – Mnamo Desemba…

Read More

Mifumo 17 yaunganishwa taasisi za Serikali kuwezesha ununuzi kielektroniki Tanzania

Dar es Salaam. Taasisi zaidi ya 17 za Serikali nchini Tanzania zimeunganishwa na mfumo mpya wa manunuzi wa kielekroniki (NeST) ili kuongeza ufanisi, uwazi na kurahisisha manunuzi ya umma. Kuunganishwa na kuzifanya taasisi hizo zisomane, pia kumetajwa kutapunguza mianya ya utoaji rushwa kwa kuondoa muingiliano wa watu katika ushughulikiaji wa zabuni mbalimbali za manunuzi. Hayo…

Read More

Nahodha Al Hilal amtaja Aziz KI

NAHODHA wa Al Hilal ya Sudan, Mohamed Abdelrahman, amesema anategemea mchezo mgumu wakati kikosi hicho kitakapopambana na Yanga Novemba 26 mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi huku akimtaja Stephane Aziz Ki kuwa ni mchezaji hatari. Al Hilal imepangwa Kundi A ikiwa…

Read More

Mohamed kortini kwa madai ya kughushi wosia wa mama yake

Dar es Salaam. Mkazi wa Kawe Mzimuni, Mohamed Omar (64) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka mawili ya jinai likiwamo la kughushi wosia wa mama yake. Mshitakiwa huyo amefikishwa mahakamani hapo, leo Jumatatu Novemba 4, 2024 na kusomewa mashitaka na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Neema Moshi, mbele ya Hakimu Mfawidhi, Franco Kiswaga….

Read More