Majeruhi watatu ajali ya lori Tabora wapelekwa KCMC

Adam Jamal,Samweli Ayo na Laiko ngweta ni miongoni mwa majeruhi wa ajali ya gari Aina ya Kamaz Lori iliyotokea usiku wa kuamkia Novemba 3 mwaka 2024 mkoani Tabora wamehamishiwa Katka hospital ya rufaa ya kanda ya KCMC Moshi baada ya hali zao kuwa mbaya taarifa ya kuhamishwa kwa majeruhi hao Imetolewa na Kaimu Mganga mfawidhi…

Read More

Picha ;Namna Mbappe alivyosherehekea birthday ya Hakimi

Kylian Mbappe alitumia Instagram kusherehekea miaka 26 ya kuzaliwa kwa rafiki yake wa karibu Achraf Hakimi kitofauti. Mbappe alishiriki picha kadhaa zinazoangazia urafiki wao, ikiwa ni pamoja na picha ya kukumbukwa wakiwa pamoja kwenye Kombe la Dunia la 2022. Alisema “Happy birthday brother. Wish you the best as always. Love you. ❤️”

Read More