Umuhimu wa viongozi wa dini kuelekea uchaguzi
Dar es Salaam. Viongozi wa dini wana nafasi muhimu katika jamii, wakitoa mwongozo wa kiroho, kijamii na wakati mwingine hata kisiasa. Wakiwa na ushawishi mkubwa kwa waumini wao, viongozi hawa wanaweza kuwa nguvu muhimu kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Uhamasishaji huu ni muhimu, hasa wakati ambao Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali…