Rais Mwinyi awasili nchini China

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimbatana na Mke wake Mhe. Mama Mariam Mwinyi amewasili katika uwanja wa ndege wa Pudong International Airport, Shanghai, China akitokea Doha, Qatar na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, China Mhe. Khamis Mussa Omar. Rais Dk. Mwinyi na ujumbe…

Read More

PINDA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA UMOJA WA WATANZANIA BOTSWANA

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda ameshiriki Maadhimisho ya miaka Thelathini ya kuanzishwa kwa Umoja wa Watanzania wanaoishi nchini Botswana (ATB) yaliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Botswana na Jumuiya hiyo yaliyofanyika jijini Gaborone tarehe 2 Novemba, 2024. Akizungumza katika hafla hiyo Mhe. Pinda amesema Serikali ya Tanzania inabuni…

Read More

Vodacom Tanzania na UDSM Zaungana Kuwezesha Kizazi Kijacho cha Wataalamu wa Usalama wa Mtandao (Cyber Security Experts).

Mkuu wa Idara ya Usalama wa Mtandaoni kutoka Vodacom Tanzania Plc Bw. Joel Kazoba akizungumza katika uzinduzi wa klabu ya usalama wa mitandao uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Tehama kilichopo Kijitonyama. Klabu hiyo imezinduliwa kwa ushirikiano baina ya Vodacom na chuo hicho cha Tehama yenye madhumuni ya kuhamasisha wanafunzi kujiunga katika…

Read More

Trump, Harris wapiga kampeni za lala salama Nevada – DW – 01.11.2024

Katika mkutano wake wa Kampeni mjini Las Vegas Kamala Harris amemkosoa vikali Trump kwa maoni aliyoyaita “ya udhalilishaji mkubwa” kwa wanawake. Ameyasema hayo akiirejea kauli ya mpinzani wake huyo aliyesema katika mkutano wake wa Jumatano huko Green Bay Wisconsin kuwa atawalinda wanawake, “watake wasitake.” Akiizungumzia  kauli hiyo ya Trump, Harris amedai kuwa inawadhalilisha wanawake na…

Read More

Rufaa yawanusuru wawili waliohukumiwa kuwaua wanandoa

Arusha. Mahakama ya Rufani imewaachia huru wakazi wawili wa Mkoa wa Mara, waliohukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kuwaua wanandoa. Walioachiwa huru ni Mwita Magori na Nyamahonge Joseph ambao walihukumiwa adhabu hiyo baada ya kukutwa na hatia ya kuwaua wanandoa ambao ni Mgosi Chacha na Mtongori Mwita, kisha…

Read More