Mwili wa bosi wa Chako ni Chako kuzikwa Alhamisi

Dodoma. Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa baa maarufu jijini Dodoma ya ‘Chako ni Chako’, Honorath Makoi unatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Kibosho, mkoani Kilimanjaro Alhamisi ya Novemba 7, 2024. Makoi (35) amefariki dunia alfajiri ya saa 10 jana Jumapili Dodoma kwa ajali baada ya gari alilokuwa akiendesha kuacha njia na kugonga mti wakati akirejea nyumbani kwake…

Read More

DKT.MPANGO KUFUNGUA MICHEZO YA SHIMMUTA 2024 JIJINI TANGA

NA ANDREW CHALE. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na Taasisi Binafsi (SHIMMUTA) Novemba 16, 2024 jijini Tanga. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu Shirikisho hilo, Dkt.Maswet Masinda wakati wa zoezi la kupanga droo ya makundi ya timu zitakazokutana katika michezo zaidi ya…

Read More

Hakuna ongezeko la maambukizi ya Mpox – DW – 04.11.2024

Katika wiki za hivi karibuni, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeripoti maambukizi kati ya 200 hadi 300 yaliyothibitishwa na maabara kila wiki, kulingana na shirika la Afya la Umoja wa Mataifa, WHO. Kiwango hicho kimepungua kutoka karibu visa 400 vilivyokuwa vikiripotiwa kila wiki mnamno mwezi Julai. Kushuka huko kwa maambukizi kunashuhudiwa pia katika eneo la…

Read More

Madeni ya makandarasi, wazabuni yawasha moto tena bungeni

Dodoma. Wabunge wameibana Serikali kuhusu madeni ya muda mrefu ya makandarasi na wazabuni wa chakula shuleni, huku yenyewe ikisema ulipaji wa madeni hayo unategemea upatikanaji wa mapato na kukamilika kwa uhakiki. Wabunge walioibua hoja hiyo bungeni leo Jumatatu, Novemba 4, 2024 ni Priscus Tarimo (Moshi Mjini-CCM), Asia Halamga (Viti Maalumu-CCM), Grace Tendegu (Viti Maalumu), Cecilia…

Read More

WPL inarejea mechi nne zinapigwa

BAADA ya mapumziko ya siku 24 za kupisha kalenda ya FIFA kwenye michezo miwili ya kirafiki ambapo Twiga Stars ilicheza dhidi ya Morocco na Senegal, hatimaye ligi inarejea. Hadi sasa zimechezwa raundi mbili za WPL, bingwa mtetezi Simba Queens akisalia kileleni baada ya kupata ushindi katika mechi zote ikifuatiwa na Mashujaa Queens yenye pointi nne…

Read More

Winga Bunda Queens hadi dirisha dogo

WINGA wa Bunda Queens, Nelly Kache amesema kama mambo ya usajili hayatakamilika hadi dirisha dogo basi atarejea kwao Kenya. Nyota huyo raia wa Kenya kabla ya kuitumikia Bunda alizichezea Alliance Girls (2023/24), Tiger Queens (2022/23) na Fountain Gate Princess (2021/22). Hadi sasa Bunda kwenye michezo miwili ya Ligi iliwatumia wazawa kutokana na kushindwa kugharamia vibali…

Read More