SHUWASA YATIA SAINI MKATABA WA KUIJENGEA UWEZO
Na Kadama Malunde- Malunde 1 blog Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imetia saini Mkataba wa Kuijengea Uwezo, baina yake na Mhandisi Mshauri Kampuni ya Gopa Infra ya nchini Ujerumani ikishirikiana na Kampuni ya Superlit Consulting Ltd ya nchini Tanzania. Mkataba huu wenye thamani ya shilingi bilioni 9 utalenga kuijengea…