Halmashauri ya Ifakara Mji kutoa Mikopo yenye thamani ya shilingi Milioni mia Tisa kwa robo mwaka .
Halmashauri ya Wilaya ya Ifakara Mji iliyopo Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro imetenga zaidi ya shilingi Milioni mia Tisa kwa ajili ya mikopo ya asilimia Kumi ya Wanawake,Walemavu na vijana. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo ya Ifakara Mji Zahara Michuzi amesema mikopo hiyo isiyo na riba imelenga kuwakomboa kiuchumi makundi hayo kuacha kuwa tegemezi katika…