Diarra, Camara mwanzo mpya | Mwanaspoti
KWA miaka mingi iliyopita katika soka, makipa walichukuliwa kuwa na kazi moja tu, nayo ni kuzuia mpira usiingie wavuni. Kipa alikuwa ni mchezaji pekee anayeweza kutumia viungo vyake vyote katika soka ikiwemo mikono, akiwa amevaa jezi tofauti na wenzake na alionekana kuwa tofauti kabisa na wengine uwanjani. Kwa miaka ya hivi karibuni, maisha ya makipa…