Rais wa Caf ashtakiwa Dar, kesi kunguruma kesho
KESI inayomhusisha bilionea wa Afrika Kusini na rais wa CAF, Patrice Motsepe na kampuni zake inatarajiwa kusikilizwa kesho, Jumatatu katika Divisheni ya Kibiashara ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Tanzania, Pula Group, imefungua kesi dhidi ya Motsepe na kampuni zake zikiwemo African Rainbow Minerals, African Rainbow Capital na ARCH Emerging…