Taoussi aanza mbwembwe | Mwanaspoti

USHINDI mtamu hasa unaposhinda kwa timu kubwa kama Yanga na hii imethibitishwa na kocha wa Azam FC, Rachid Taoussi aliyesema pointi tatu ilizopata timu hiyo mbele ya Yanga ni kielelezo cha mipango imara na nidhamu ya hali ya juu kutoka kwa wachezaji, huku akiweka wazi lengo ni kujiimarisha na kuwa klabu tishio zaidi nchini. Mkwara…

Read More

Mtoto aliyemzuia baba yake asiuze shamba ‘apasua’ darasa la saba, Baba afunguka

Maisha ni safari. Hivi ndivyo unaweza kumwelezea mtoto Antony Petro ambaye mwaka 2018 aliibua mijadala maeneo mbalimbali, hususan mitandaoni. Video vya Antony wakati huo akiwa na umri wa miaka tisa, ilisambaa mitandaoni akimzuia baba yake, Petro Magogwa asiuze shamba la familia. Mtoto huyo hakuishia hapo, alikwenda kutoa taarifa polisi. Antony ambaye wakati huo alikuwa mwanafunzi…

Read More

Suhulu ya Wagosi yamchefua Aussems

KOCHA wa Singida Black Stars, Patrick Aussems ameonyesha kutoridhishwa na sare waliyoipata katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union na lengo lao lilikuwa ni kushinda na si kugawana pointi. Singida ikicheza nyumbani Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ilitoka suluhu na Wagosi na kushindwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu,…

Read More

Kikwete aguswa na mchango wa Sh1 bilioni za NMB kwa JKCI

Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amepongeza juhudi za wadau wa afya nchini kwa kufanikisha uchangishaji wa Sh2.71 bilioni kwa ajili ya matibabu ya watoto 1,500 wanaokabiliwa na changamoto za  kugharamia matibabu ya ugonjwa wa moyo. Katika kiasi hicho, Benki ya NMB ilichangia Sh1 bilioni zilizokusanywa kwenye hafla ya kuchangisha…

Read More

Lufano bado yupo sana MZFA

MWENYEKITI wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA), Vedastus Lufano ametetea nafasi hiyo, baada ya kupita bila kupingwa akipigiwa kura za ndio na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho, huku Khalid Bitebo akipitishwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti. Lufano ameshinda nafasi hiyo katika mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama hicho uliofanyika juzi, jijini Mwanza…

Read More

Sungusungu saba walioshtakiwa kwa mauaji waachiwa

Arusha. Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dodoma imewaachia huru washtakiwa saba ambao ni sungusungu, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mwanakijiji aliyedaiwa kuwa mchawi. Katika kesi hiyo ya mauaji namba 78 ya mwaka 2023, washtakiwa walikuwa ni Maria Chigwile, Magreth Steven, Agusta Reuben, Janeth Hoya, Mariam Zacharia, Tatu Mkomochi na Pendo Lucas. Mbele ya…

Read More

VISA yamkwamisha Mbongo Uturuki | Mwanaspoti

MTANZANIA Hebron Shedrack anayekipiga Sisli Yeditepe inayoshiriki Ligi ya Walemavu nchini Uturuki amesema hajaondoka nchini hadi sasa kutokana na changamoto ya kibali cha kusafiria. Nyota huyo anacheza ligi moja na Mtanzania mwenzake, Ramadhan Chomelo anayeitumikia klabu ya Konya. Ligi ya nchi hiyo itaanza mwishoni mwa mwezi huu kutokana na mwingiliano wa ratiba ya michuano ya…

Read More

BALOZI NCHIMBI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CRC WA COMORO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na Mhe. Youssoufa Mohamed Ali, Katibu Mkuu wa Convention for the Renewal of the Comoros (CRC), chama tawala nchini Comoro. Mazungumzo hayo ya pande mbili, yaliyohusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya vyama hivyo, serikali na nchi hizo mbili kwa ujumla, yalifanyika…

Read More

Beki Yanga aanika mipango ya msimu

WANA fainali ya Ngao ya Jamii kwa wanawake, Yanga Princess, wamedhamiria kufanya makubwa msimu huu ikiwamo kubeba taji la Ligi Kuu ya Wanawake kwa mara ya kwanza ikiwa ndio ndoto yao. Chini ya kocha aliyerejea msimu huu, Edna Lema ‘Mourinho’, Yanga Princess ilitinga fainali ya Ngao ya Jamii kwa kumtoa mtani wake, Simba Queens kwa…

Read More