Diaspora kutuma fedha moja kwa moja Tanzania
Dar es Salaam. Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) sasa wataweza kutuma fedha moja kwa moja nchini, baada ya kuanzishwa kwa programu ya kifedha kwa waafrika ijulikanayo kama Kuda. Kuanzishwa kwa programu hiyo huenda kutachochea kuongezeka kwa kiwango cha fedha kinachotumwa Tanzania kwa ajili ya shughuli mbalimbali, ikiwemo uwekezaji. Programu hiyo inatangazwa baada ya Kuda…