RAIS MSTAAFU KIKWETE AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA GHARAMA ZA MATIBABU KWA WATOTO KUTOKA FAMILIA ZISIZO NA UWEZO WENYE UGONJWA WA MOYO
Na Issa Michuzi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa taasisi na watu binafsi wenye nia njema kujitokeza na kuchangia matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo ili kuwaondolea au kupunguza mateso yanayosababishwa na maradhi hayo. Dkt. Kikwete alitoa wito huo Jumamosi…