Rais Samia kufanya ziara ya siku tatu Cuba
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu nchini Cuba kuanzia Novemba 6, 2024. Jana Jumamosi, Novemba 2, 2024, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo aliongoza kikao cha ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliowasili Havana, Cuba kwa ajili…