ONGEA NA AUNT BETTIE: Mke wa mtu ananilazimisha niwe naye, nifanyeje?
Kuna mke wa mtu ananitaka na ananilazimisha sana, kwa muda niliokuwa karibu naye nimejikuta nampenda. Ila sitaki kuingia katika uhusiano naye kwa sababu ni mke wa mtu. Kwa kuwa ninashindwa kuwa mbali naye, nifanyeje? Unauchezea moto kwa mikono yako, bila shaka unaelekea kuungua. Umeshajua huyo ni mke wa mtu na ana nia mbaya ya kuisaliti…