WAZIRI JAFO AITAKA SIDO KUTENGENEZA MASHINE ZA KUCHAKATA MWANI NA KUKAMUA MAFUTA KWA WAJASILIAMALI LINDI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo, akizungumza wakati akizindua Maonesho ya kwanza ya gulio la bidhaa za usindikaji na ushonaji Mkoani Lindi, Novemba 02,2024. …….. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameliagiza Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kutengeneza mashine za kuchakata mwani na kukamua mafuta…