Mukwala: Nimewasikia! | Mwanaspoti
STEVEN Mukwala amefunga bao la pili katika Ligi Kuu Bara wakati akiipa Simba ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa, kisha kuitoa msimamo wake akisema amefurahishwa na jinsi mashabiki na benchi la ufundi kiujumla walivyompongeza, lakini amesisitiza anaamini ataendelea kuwapa raha kadri atakapopata nafasi. Mukwala alifunga bao dakika za jioni kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,…