Ishu ya straika Simba giza nene, ndugu wafunguka

UNAKWENDA mwezi wa tatu sasa bila ya wapenzi na mashabiki wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini (WPL), kumshuhudia uwanjani aliyekuwa kinara wa mabao msimu uliopita, Aisha Mnunka wa Simba Queens. Agosti Mosi, mwaka huu, Mwanaspoti iliripoti kuwa nyota huyo wa timu ya taifa (Twiga Stars) ametoroka kambini ikiwa ni siku chache tangu atoke kwenye majukumu…

Read More

AKU yaadhimisha Siku ya Waandishi Dar

Dar es Salaam. Serikali imeshauriwa kukusanya takwimu kuhusu idadi ya watu wanaopenda kusoma vitabu ili kuendelea kuhimiza tabia ya usomaji kwa Watanzania. Takwimu hizo zitasaidia kuimarisha juhudi za kukuza usomaji, kuhakikisha rasilimali zinatumika vyema ili kuhamasisha watu wengi kujenga tabia ya kusoma vitabu na kuboresha matokeo ya elimu nchini. Wito huo umetolewa jana Ijumaa, Novemba…

Read More

Bodaboda Mabibo wawafadhili mabondia wa ngumi

-Wasema wanarudisha faida kwa jamii, na waishukuru serikali kuingiza pikipiki Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Umoja wa Maafisa Usafirishaji wa Bodaboda Mabibo Mwisho (BMM) umesema kuwa unaishukuru serikali katika utashi wake wa kuingiza Pikipiki ambazo zimekuwa msaada wa vijana kujiajiri. Vijana katika kujiajiri huko ni fursa nyingine katika kurudisha mafanikio kwa watu wengine ambao watajiajiri. Akizungumza…

Read More

Dosari zipatiwe ufumbuzi kuelekea uteuzi wa wagombea

Dar es Salaam. Uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 27, 2024, unatoa fursa kwa wananchi kuchagua viongozi wa ngazi ya mitaa, vijiji, na vitongoji. Mchakato huu ni muhimu kwa kuwa unaimarisha utawala wa kidemokrasia na kuleta uwakilishi wa moja kwa moja wa wananchi. Hata hivyo, kuelekea uteuzi wa wagombea Novemba 8, 2024 kumekuwa…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUKUZA MATUMIZI YA LUGHA YA KISWAHILI KIKANDA NA KIMATAIFA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi (Mb.) ameliambia Bunge kuwa Serikali itaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza na kutangaza Lugha ya Kiswahili duniani ikiwa ni pamoja na kuendelea kuhamasisha matumizi ya Lugha hiyo katika Taasisi za Kikanda na Kimataifa na kuhakikisha inafundishwa kama taaluma ili kuzalisha wakalimani…

Read More

Mjumbe aeleza jinsi Sinodi ilivyoridhia, Askofu Sepeku apewe zawadi

Dar es Salaam. Aliyekuwa mjumbe wa kikao cha Sinodi cha Kanisa la Anglikana Tanzania, kilichoketi Machi 1980, Ernest Mwenewanda(79), amedai kuwa aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa kanisa la Anglikana Tanzania, marehemu John Sepeku, alikuwa na upendo kwa waumini wa wake,  hali iliyosababisha hata kanisa lilipopendekeza apewe zawadi, hakuna mjumbe yeyote aliyepinga uamuzi huo. Mwenewanda…

Read More