Polisi yaanza uchunguzi kutoweka kwa bosi wa Dar24
Dar es Salaam. Ikiwa ni siku moja tangu taarifa ya kutoweka kwa Mkurugenzi wa Dar24 Media, Maclean Mwaijonga zisambae katika mitandao ya kijamii, Jeshi la polisi limesema limeanza uchunguzi. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 2, 2024 na mmoja wa viongozi wa Datavision International Ltd, William Kihula kupitia mitandaoni, imesema, Mwaijonga ambaye pia ni mtendaji wa…