VIDEO: Zijue noti zinazoondolewa kwenye mzunguko na BoT

Dar es Salaam. Wengi wamekuwa wakijiuliza ni noti zipi ambazo zimetangazwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuwa zitaondolewa kwenye mzunguko wa matumizi kati ya  Januari na Aprili mwakani. Hivi karibuni Bot ilitangaza kuziondoa noti za Sh20, Sh200, Sh500, Sh1,000, Sh2,000, Sh5,000 na Sh10,000 zilizotolewa kuanzia mwaka 1985 hadi 2003, pamoja na noti ya Sh500…

Read More

Jiwe la msingi UVCCM lazua taharuki Mwanza

Mwanza. Wakati baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Bujimile mkoani hapa wakipinga kuwepo kwa jiwe la msingi la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mbele ya ofisi ya serikali ya mtaa huo, chama hicho kimesema wao wamepanga karibu na ofisi hiyo. . Jiwe hilo lenye bendera na maandishi yaliyoandikwa “Jiwe hili la vijana…

Read More

Changamoto ya mipaka ya utawala haina mashiko

Ngonjera, mabango, vitabu na historia nzima ya Tanzania imejaa sifa ya amani na utulivu. Zamani misafara ya wafanyabiashara, watafiti na wamisionari waliopita hapa, ilikuwa na kila sababu ya kuimezea mate nchi hii iliyojaaliwa bahari, mito, maziwa, milima na mabonde ya kuvutia. Kama vile haitoshi, ardhi yenye rutuba, madini pamoja na misitu iliyojaa wanyama wa kila…

Read More

Kocha KMC ana siku tatu

BAADA ya kuambulia pointi tatu ugenini, Kocha Mkuu wa KMC, Abdihamid Moalin amesema ana siku tatu kuendelea kuboresha ubora wa kikosi kabla ya kuivaa Simba, Novemba 4. KMC iliyopo nafasi ya sita ikikusanya pointi 14 katika mechi 10, itakuwa ugenini kuvaana na Simba iliyo nafasi ya tatu kabla ya mchezo wa jana. Mechi hiyo itapigwa…

Read More

Rajabu: Mwenyekiti CCM Tanga anayefuata nyayo za Mkapa

“Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa (marehemu) ndiye alinivutia na kuona iko siku ninaweza kuwa mwanasiasa mkubwa hapa Tanzania,” hayo ni maneno ya Rajabu Abdallahman Mwichande, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Rajabu alishinda nafasi hiyo kwenye uchaguzi wa ndani ya chama uliofanyika mwaka 2022 na wako wana CCM ndani ya mkoa wa Tanga…

Read More

Siri ya Wakurya kuwa wababe, wakali na wajasiri

Musoma. Kabila la Wakurya ni moja ya makabila yanayopatikana mkoani Mara. Hata hivyo, Wakurya wengi wanapatikana katika wilaya za Tarime, Serengeti na sehemu za wilaya za Rorya na Butiama lakini pia wanaishi katika wilaya zingine za mkoa huo. Mbali na kupatikana mkoni humo pia kabila hili lenye koo zaidi ya 10,  ni moja ya makabila…

Read More

Atahadharisha usawa wa kijinsia kwenye ndoa

Dodoma. Wanawake nchini wametakiwa kutafsiri vizuri kuhusu usawa wa kijinsia kwamba haina maana mke kumdharau mume akitaka usawa ndani ya ndoa. Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa dawati la jinsia na watoto Mkoa wa Dodoma Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Christer Kayombo, alipokuwa akitoa mada wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa…

Read More

'Maendeleo ya kihistoria' nchini Thailand huku yakielekea kukomesha ukosefu wa utaifa kwa karibu watu 500,000 – Masuala ya Ulimwenguni

Uamuzi huo uliotangazwa Ijumaa utafanyika kunufaisha wakazi 335,000 wa muda mrefu na watu wa makabila madogo yanayotambulika rasmi, pamoja na takriban 142,000 ya watoto wao. mzaliwa wa Thailand. 'Maendeleo ya kihistoria' “Haya ni maendeleo ya kihistoria,” alisema Bi. Hai Kyung Jun, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) Mkurugenzi wa Ofisi ya Asia…

Read More