Singida, Coastal zote hesabu kali

WAKATI Singida Black Stars ikitarajia kuingia kwenye mchezo wa leo, Jumamosi dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar  kwa lengo la kurejea kwenye wimbi lao la ushindi, wagosi wa Kaya wao hesabu zao ni kuendeleza walichoifanya Kagera Sugar. Singida BS ambayo imetoka kupoteza kwenye mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Yanga, ipo…

Read More

Maftah aipa Pamba watatu | Mwanaspoti

BEKI wa zamani wa Yanga na Simba, Amir Maftah amesema Pamba Jiji ilikosea hesabu zake kwenye usajili wa dirisha kubwa ambao anaamini haukuzingatia mahitaji ya kiufundi, bali msukumo wa kisiasa na haishangazi kwa matokeo wanayoendelea kuyapata kwenye Ligi Kuu Bara. Maftah alishauri klabu hiyo kufanya maboresho kwenye dirisha dogo kwa kusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa…

Read More

ALPHONCE MODEST: Ugonjwa ulimuanzia usiku ndotoni #2

KATIKA sehemu ya kwanza ya simulizi hili la kusikitisha la nyota wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Alphonce Modest tuliona uhalisia wa mazingira anayoishi nyumbani kwa baba yake mzazi mjini Kigoma na leo kwenye muendelezo anafichua makubwa ikiwamo alivyoanza kuugua. Endelea… Licha ya mwili wa Modest (juu kitandani) kuanzia shingoni kwenda chini haujiwezi, miguu yake…

Read More

Kocha Yanga ampa ujanja Mukwala

KOCHA wa zamani wa Yanga na Azam FC, Hans Pluijm amekifuatilia kikosi cha Simba na kushangazwa na namna straika mpya wa timu hiyo, Steven Mukwala alivyoanza na kasi ndogo, kisha kumpa akili mpya akisisitiza anaimani akikaa vizuri Msimbazi watashangilia mabao ya kutosha kutoka kwake. Mukwala amefikisha mabao mawili baada ya jana Jumamosi kufunga dhidi ya…

Read More