Mataragio: Changamoto ya kujaza gesi iishe
Dar es Salaam. Huenda msongamano kwa ajili ya kujaza gesi kwenye magari ukafikia ukomo baada ya Serikali kuagiza kituo mama kilichopo eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kikamilike mwezi ujao. Kukamilika kwa kituo hiki kutawezesha utendaji wa vituo vingine vidogo vinne vitakavyokuwa vikichukua gesi hapo kwa ajili ya kuhudumia magari katika maeneo…