MKOPO WA DKT SAMIA NI SALAMA KWA WATANZANIA
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda(MCC) amewataka wanawake wafanyabiashara wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuachana na *mikopo ya kausha damu, ujinga na mwendokasi* inayowanyanyasa na kuwadhalikisha wanawake kutokana na muda wa marejesho na kiwango cha riba kuwa kikubwa na hivyo badala ya kujikwamua kiuchumi inaongeza umasikini zaidi. Akizungumza katika Uzinduzi wa Umoja…