AKILI ZA KIJIWENI: Kwa Pacome Tuweke akiba ya maneno
PACOME atabaki Yanga kwa kuongeza mkataba mpya au ataondoka na kujiunga na timu nyingine ndivyo tunavyojiuliza hapa kijiweni. Jamaa mmoja kibabe anatamba kuwa Pacome hawezi kuondoka kirahisi pale mitaa ya Twiga na Jangwani. Huyu anayesema hivi ni shabiki wa kulialia wa Yanga na hapa huwa tunamtania kuwa amekunywa maji ya bendera ya Yanga. Mwanayanga huyu…