
AKILI ZA KIJIWENI: Marefa wanashindana kufanya makosa
KUIGA kitu kizuri sio jambo baya na hasa kile kinachoigwa kinagusa moja kwa moja umma kwa hisia chanya badala ya hasi. Ukiwauliza swali marefa wengi wa kibongo kwamba wanataka kuwa kama nani basi utaorodheshewa majina ya marefa wakubwa wanaofanya vizuri duniani. Hao marefa wakubwa duniani hawajapata huo umaarufu kwa bahati ya mtende bali uchezeshaji wao…