
Kivumbi Marekani, wagombea wakabana koo uchaguzi ukikaribia
Uchaguzi wa Rais wa Marekani unatarajiwa kufanyika Novemba 5, 2024, Zikiwa zimesalia wiki chache tu, kinyang’anyiro kati ya wagombea wawili wakuu, Kamala Harris wa Chama cha Democratic na Donald Trump wa Chama cha Republican, kimechukua sura mpya, huku tafiti zikionyesha kuwa umaarufu wa Harris umepungua kidogo, jambo linalozua maswali juu ya nani ataibuka mshindi. Kwa…