
Shivji ataja siri ya udhaifu wa viongozi Tanzania
Dar es Salaam. Mwanazuoni maarufu nchini, Profesa Issa Shivji amessema ili Tanzania ipate viongozi bora wa kizazi kijacho, si lazima kuunda programu maalumu za kuwaandaa bali kuboresha mfumo wa elimu uliopo. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Profesa Shivji amesema mfumo wa elimu wa sasa unazalisha wanafunzi wanaokariri badala ya kuwafikirisha, hali inayojitokeza hata kwa viongozi…