
Kabila hili bila ‘kukonyeza’ hujapata mke au mume
Unajua Kabila la Waberber au Amazighs wana mila ya harusi ya ajabu, vijana wa kike na kiume hukusanywa pamoja na kucheza muziki usiku huku wakikonyezana kwa ridhaa ya wazazi wao? Ni tamasha linalokutanisha takribani watu 30,000 la kijana kupata mke na binti kupata mume. Ni mwendo wa kutaniana, kuchumbiana na kuoana, lugha ya mawasiliano kwenye…