
Athari za mwenye vidonda vya tumbo kufanya ‘diet’
Dar es Salaam. Licha ya mpangilio maalumu wa kula ‘diet’ wenye lengo la kupunguza uzito wa mwili au unene kuwa na faida, wataalamu wa afya wanasema si kila mtu anashauriwa kutumia njia hiyo, wakiwemo wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Wataalamu wanasema mgonjwa wa vidonda vya tumbo anapofanya diet ya kujinyima chakula, husababisha kuta za tumbo…