
Magonjwa 10 yanayoongoza mkoani Dodoma
Dodoma. Imebainika kati ya magonjwa 10 yaliyoongoza kwa watu wengi kuugua mkoani Dodoma katika kipindi cha miaka miwili mfululizo, maambukizi ya njia ya juu ya kupumua (URI), yamechukua nafasi ya kwanza. Magonjwa mengine yaliyoongoza katika mwaka 2021 na mwaka 2022 yalikuwa ni maambukizi ya njia ya mkojo (UTI), Nimonia, kuhara, magonjwa mengine ya tumbo yasiyoambukiza….