
RAIS SAMIA AIONGOZA TANZANIA KUONGOZA KATIKA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI
Uongozi wa kimaono wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki. Hili lilidhihirishwa hivi karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto, alipokiri waziwazi katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwamba Kenya imesalia nyuma kibiashara…