
Kaizer Chiefs yamkomalia Fei Toto
MIAMBA ya soka ya Afrika Kusini, Kaizer Chiefs imeonyesha dhamira ya kuvunja mfumo wake wa malipo ili kumsajili kiungo wa kati wa kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum katika dirisha dogo la usajili la Januari, mwakani. Nyota huyo wa Azam maarufu kama ‘Fei Toto’ amevutia macho ya mabosi wa Chiefs kutokana na uwezo wake mkubwa wa…