TASAC YANG’ARA TUZO ZA NBAA

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeshika nafasi ya kwanza katika tuzo ya uandaaji na uwasilishaji wa taarifa za mahesabu kwa Viwango vya Kimataifa kwa mwaka 2023 kati ya Mamlaka 9 za Udhibiti zilizoshindanishwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu nchini. Tuzo hiyo imepokelewa na CPA Pascal Kalomba Mkurugenzi wa Fedha kwa niaba ya…

Read More

Wanaume wa ZNZ waruhusuni wanawake wang’ae kwenye tuzo

Mhandisi Zena Said ambae ni katibu kiongozi serikali ya Zanzibar amewataka wanaume wa Zanzibar kuwapatia fursa wake zao ili waonyeshe makubwa wanayoyafanya kupitia majukwaa, Katibu Kiongozi ameyasema hayo maara baada ya kupata taarifa baadhi ya wanawake walionyimwa fursa ya kuonesha makubwa wanayofanya kupitia malkia wa nguvu Zena ameyasema hayo alipohudhuria kwenye Tuzo za Malkia wa…

Read More

VYAMA VYA SIASA WILAYA YA TANGA VYAPONGEZA MCHAKATO WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Na Oscar Assenga,TANGA Vyama vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa wa Novemba 27 mwaka huu katika Halmashauri ya Jiji la Tanga, vimetoa tamko la pamoja na kupongeza mchakato wa Uchaguzi huo huku vikitaka dosari chache zilizojitokeza zifanyiwe kazi na Tamisemi. Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM),Chama Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)…

Read More

KambiTiba ya Madaktari wa Tanzania Comoro yaanza kwa kishindo

KambiTiba ya Madaktari Bingwa toka Tanzania nchini Comoro imeanza kwa muitikio mkubwa wa wananchi wa nchini humo ambapo mamia wamejitokeza kupata huduma mbali mbali zinazotolewa kwa ushirikiano na madakatari wazawa katika Kisiwa cha Ngazidja. Madaktari hao wa Tanzani wametoa huduma za uchunguzi na matibabu katika matatizo ya mifupa,figo na vibofu vya mkojo,mifupa,saratani,moyo na mengineyo ambapo…

Read More