Ndege ya mwisho ya kurejea nyumbani inawaleta Wabrazili nyumbani huku kukiwa na usitishwaji wa mapigano – Global Issues

Misheni ya 13 na ikiwezekana ya mwisho chini ya Operesheni ya Cedar Roots ya Brazil ilibeba abiria 150, wakiwemo wazee na watoto, kuwarudisha salama. Kwa wengi, kitulizo cha kufikia ardhi ya Brazili kilipunguzwa na uharibifu walioacha nyuma. “Nina furaha sana, nashukuru sana kwa operesheni hii ya kuwarejesha nyumbani, ambayo ilituma ndege kwa ajili yetu,” alisema…

Read More

TRA KINARA UANDAAJI WA MAHESABU TUZO ZA NBAA

Mamlaka ya Mapato tanzania (TRA) yaibuka mshindi wa jumla kwenye uandaaji wa hesabu za kifedha zinazozingatia viwango vya kimataifa vya Uhasibu katika Sekta ya Umma (IPSAS) na Sekta za Kibiashara (IFRS). Tuzo hizo zimetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) jana 29/11/2024. Vilevile, TRA imeibuka mshindi wa kwanza katika kipengele…

Read More

Dkt. Mpango aipongeza Benki ya CRDB kuzindua Hatifungani ya ‘Samia Infrastructure Bond’ kusaidia miradi ya barabara nchini

Dar es Salaam. Tarehe 29 Novemba 2024: Akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdory Mpango ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Hatifungani ya Samia Infrastructure Bond inayolenga kukusanya Shilingi bilioni 150 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya barabara za vijijini na mijini zilizochini…

Read More