WAFUNGWA NA MAHABUSU KUANDALIWA UTARATIBU WA KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Na Linda Akyoo Tume huru ya Taifa ya uchaguzi imeandaa utaratibu wa kuandikisha watanzania waliopo magereza wanaotumikia adhabu zisizozidi kifungo cha miezi 6 pamoja na Mahabusu kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Utaratibu huo ambao ni wa kwanza kutumika hapa nchini utawapa haki wafungwa hao na mahabusu kushiriki zoezi la upigaji kura katika uchaguzi…

Read More

KITUO CHA MAFUTA KUAMBIA CHAZINDULIWA

Na. Damian Kunambi, Njombe Zaidi ya Lita 200 za mafuta ya petrol na diesel yametolewa bure kwa magari mbalimbali na madereva bodaboda baada ya mkuu wa Wilaya ya Ludewa Olivanus Thomas kuzindulia kituo kipya cha mafuta Wilayani Ludewa Mkoani Njombe kinachomilikiwa na Imani Haule ambaye ndiye mmiliki wa Kampuni ya Kuambiana Investment. Hatua hiyo imefikiwa…

Read More

Hatifungani za  miundombinu kuleta manufaa haya

Dar es Salaam. Ili kupunguza changamoto ya kuchelewa na upatikanaji wa mikopo na mitaji  kwa makandarasi wazawa wanaotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara nchini, Benki ya CRDB imeanzisha hatifungani ya miundombinu ikienga kukusanya Sh150 bilioni. Mbali na faida za kimundombinu, hatifungani hiyo inayoanza kuuzwa leo hadi Januari 17,2024, inatoa fursa kwa kila Mtanzania zikiwamo taasisi…

Read More

TMA yatabiri mvua kubwa mikoa 11 kuanzia kesho

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetabiri mvua kubwa kwa siku mbili kuanzia kesho Novemba 30 na Desemba mosi, mikoa 11 kwenye kanda tatu tofauti. Utabiri huo, mbali na mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeta, Songwe, Iringa, Njombe na Rukwa), umegusa ukanda wa Pwani ya Kusini mwa Bahari ya Hindi…

Read More

Vijana wapewa mafunzo namna ya kujiajiri

Dar es Salaam. Katika juhudi za kupambana na uhaba wa ajira nchini, taasisi ya Her Initiative kwa kushirikiana na Sheria Kiganjani wametoa mafunzo maalumu kwa vijana 50 wa Kitanzania kuwajengea uwezo wa kujiajiri na kujitambua katika soko la ajira. Mpango huo unalenga kuwafikia zaidi ya vijana 4,000 na kuwapa mwongozo wa namna ya kujiajiri na…

Read More